Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe. Dkt. John Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa, Makao Makuu ya Ulinzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo wakisikiliza maelezo toka kwa Mhandisi Kanali Zabron Mahenge akitoa maelezo kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akishuhudiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ  Luteni Jenerali Yakub Mohamed baada ya  kuweka  jiwe la Msingi  la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akikata utepe kuashiria mwanzo wa ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo na maafisa waandamizi wengine akiongea machache baada ya kuweka  jiwe la Msingi la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Kijiji cha Chimilolo alipotoka katika hafla ya uwekaji wa  jiwe la Msingi  la ujenzi wa Uwanja wa Maadhimisho ya Taifa eneo la Chamwino jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.