Muonekano wa jengo la Maduka ya Kisasa katika eneo la michenzani (makontena) likiwa katika ujenzi wake huo katika hatua za mwisho za umalizaji wake kama linavyoonekana pichani likiwa katika hatua kubwa ya ujenzi huo unaofanywa na Kampuni ya Ujenzi ya Kichina.
BENKI YA STANDARD CHARTERED YAFANYA USAFI RUNGWE BEACH
-
Benki ya Standard Chartered Tanzania kwa kushirikiana na taasisi ya NIPE
FAGIO wamefanya zoezi la usafi katika fukwe za Rungwe Beach, jijini Dar es
Salaam,...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment