Habari za Punde

Mradi wa Reli ya SGR

Meneja Msaidizi wa Mradi wa Reli ya Kisasa-SGR kipande cha Dar-Moro Mhandisi Ayoub Mdachi akitoa maelezo kwa Wahandisi wa ndani ya nchi walipotembelea mradi huo.
Meneja Msaidizi wa Mradi wa Reli ya Kisasa-SGR kipande cha Dar-Moro Mhandisi Ayoub Mdachi akitoa maelezo kwa Wahandisi wa ndani ya nchi wakiwa ndani ya treni wakati wakiwa safarini kuelekea Kilosa Mkoani Morogoro kutembelea mradi wa SGR.
Wahandisi wa ndani ya nchi wakioneshwa mchoro wa ramani ya handaki lililochongwa la zaidi ya mita 200 walipotembelea mradi huo mkoani Morogoro.

Wahandisi wa ndani ya nchi wakishuka katika treni ya majaribio katika njia ya Reli ya kisasa walipotembelea mradi huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.