Tukumboke tulikota katika matumizi ya Vitu vya asili kama hivi ndoo na chano cha kufulia nguo si aghrabu kuvikuta vitu hivi katika majumba yetu wakati huu.
Unaweza kubahatika kuviona katika makumbusho na kwa baadhi ya Wazee katika maeneo ya shamba (VIJIJINI) vikiwa vimeweka na tayari viko katika hali ya kuharibika kutokana na uhifadhi wake na kutokutumika tena.
No comments:
Post a Comment