Habari za Punde

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA KIWANDA CHA NYANZA BOTTLING, KIYICHOPO JIJINI MWANZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikata utepe kuzindua upanuzi wa kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifungua upanuzi wa kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia soda, inayozalishwa katika kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, kabla ya kuzindua upanuzi wa kiwanda hicho

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mitambo ya kuzalisha soda, katika kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua rasmi upanuzi wa kiwanda hicho

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kuzalisha mvuke unaotumika katika uzalishaji, kwenye kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua rasmi upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.