Habari za Punde

Zantel Yashiriki Kuelimishaji Jamii Dhidi ya Saratani ya Matiti, Zanzibar na Dar es Salaam

Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Mussa Baucha, akikabidhi zawadi ya fulana na mwamvuli kwa mmoja wa wanachama wa SACCOS ya Meli Nne, Nadra Abdulrahim, baada ya kuhudhuria semina kuhusiana na kutambua dalili za ugonjwa wa satarani ya matiti iliyoandaliwa na SACCOS hiyo. 
Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Khamis Mussa, akikabidhi zawadi ya fulana na mwamvuli kwa mmoja wa wanachama wa SACCOS ya Meli Nne, Rahma Mohammed Shaweji, baada ya kuhudhuria semina kuhusiana na kutambua dalili za ugonjwa wa satarani ya matiti iliyoandaliwa na SACCOS hiyo 
 Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Khamis Mussa, akikabidhi zawadi ya fulana na mwamvuli kwa mmoja wa wanachama wa SACCOS ya Meli Nne, Nargis Nassor, baada ya kuhudhuria semina kuhusiana na kutambua dalili za ugonjwa wa satarani ya matiti iliyoandaliwa na SACCOS hiyo  (Kulia) ni Meneja Rasilimali watu wa Zantel, Frank Jackson
Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Khamis Mussa, akiongea na baadhi ya wanachama wa SACCOS ya Meli Nne wakati wa semina kuhusiana na kutambua dalili za ugonjwa wa satarani ya matiti iliyoandaliwa na SACCOS hiyo n (kulia) ni Afisa kitengo cha maradhi yasioambukiza kutoka Wizara ya Afya Zanzibar, Zuhura Saleh.
Meneja wa kitengo cha usajili wa laini za simu wa Zantel, Fatma Mohamed (kulia), akikabidhi zawadi ya fulana na mwamvuli kwa wanawake wafanyabiashara ndogondogo wa samaki katika soko la samaki la Kunduchi beach jijini Dar es Salaam baada ya kuhudhuria hafla fupi i kuhusiana na kutambua uwezo wa wanawake katika nyanja mbali mbali na pia kuwahamasisha kufuata ushauri wa madakari na Wizara ya afya kupima afya zao hususan ugonjwa wa satarani ya matiti kwani afya zao na za familia zao ndio mtaji mkubwa wa maendeleo yao.
Meneja Mauzo wa Zantel Kanda ya Dar es Salaam Haidari Chamshama, akiongea na wanawake wafanyabiashara ndogondogo wa samaki katika soko la samaki la Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam katika hafla fupi  kuhusiana na kutambua uwezo wa wanawake katika nyanja mbali mbali na pia kuwahamasisha kufuata ushauri wa madakari na Wizara ya afya kupima afya zao hususan ugonjwa wa satarani ya matiti kwani afya zao na za familia zao ndio mtaji mkubwa wa maendeleo yao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.