Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwasili katika ukumbi wa mkutano kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari14,
2020
NMB yafadhili ziara ya kibiashara ya wajasiriamali 28 nchini China
-
Na Mwandishi Wetu
Benki ya NMB imefadhili ziara ya kibiashara ya wafanyabiashara 28, ambayo
inalenga kuwapa uzoefu wa moja kwa moja wa masoko ya China...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment