Habari za Punde

Vijana wa KVZ Wakionesha Umahiri Mchezo wa Sarakasi Pemba.

Kikundi cha Sarakasi kutoka kikosi cha KVZ Zanzibar, wakionyesha umahiri wao wa kucheza sarakasi wakati wa sherehe za uwekaji wajiwe la msingi Ofisi ya KVZ Pemba, ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu Zaznibar.
Kijana wa kikundi cha  KVZ  akionesha umahiri wa mtindo wa kucheza na nyoka aina ya chatu wakati wa sherehe za uwekaji wajiwe la msingi Ofisi ya KVZ Pemba, ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu Zaznibar
.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.