Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan Afungua Kongamano la UVCCM Wasichana wa UDSM

Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa akimvisha Skafu Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilipowasuili katika ukumbi wa Urafiki Jijini Dar es salaam leo 16 Febuari 2020 kwa ajili ya kuzindua  kongamano la Wasichana wa UVCCM Tawi la Abiyani Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye mada kuu Mwamko wa Wasichana katika Masuala ya uongozi.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza jambo kwa Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Tabia Mwita na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Raymond S Mwangwala  wakati wa uzinduzi wa  kongamano la Wasichana wa UVCCM Tawi la Abiyani Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye mada kuu Mwamko wa Wasichana katika Masuala ya uongozi. kongamano hilo limezinduliwa leo 16 febuari 2020 katika Ukumbi wa Urafiki.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua kongamano la Wasichana wa UVCCM Tawi la Abiyani Chuo Kikuu cha Dar es salaam lenye mada kuu Mwamko wa Wasichana katika Masuala ya uongozi. kongamano hilo limezinduliwa leo 16 febuari 2020 katika Ukumbi wa Urafiki.
Vijana wa UVCCM Chuo Kikuu Dar es Salaama wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano wakati Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano Mhe.Samia Suluhu akifungua Kongamano hilo leo.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.