Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya KMKM na Mafunzo Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bao.2-2.

Mchezaji wa Timu ya KMKM kulia akimpita beki wa Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bao.2-2.
Mchezaji wa Timu ya KMKM akijiandaa kuzuiya mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar, huku mchezaji wa Mafunzo akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo huo.Timu hizo zimetoka sare ya Bao 2 -2.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.