Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akutana kwa mazungumzo na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na Viongozi wa Chama cha Muziki wa Rhumba Tanzania (HAMURATA), katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akutana kwa mazungumzo na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii na Viongozi wa Chama cha Muziki wa Rhumba Tanzania (HAMURATA), katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma Februari 8, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment