Habari za Punde

Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Yawailisha Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020.

Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (katikati) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,wakati wa  kikao cha uongozi wa Wizara hiyo,kilichofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar, Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia) na Mshauri wa Rais masuala ya Fedha na Uchumi Bw.Abdulrahman Mwinyi Jumbe.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika Kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Nd,Khamis Mussa Omar (kushoto) pamoja na watendaji mbali mbali katika Wizara hiyo wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019, kilichofanyika leo ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Ikulu Mjini Zanzibar,
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Nd,Khamis Mussa Omar (kushoto) alipokuwa akisoma taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika kikao cha Wizara hiyo kilichofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar, ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Nd,Mwita Mgeni Mwita (kulia) 
Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Fedha na Mipango wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,iliyosomwa katika kikao maalum kilichofanyika leo   Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ambapo  Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika Kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baars la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Makamishna mbali mbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika Kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019,kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baars la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.