Menu

Sunday, March 29, 2020

Kisomo Cha Hitma Kumsomea Marehemu Ramadhan Haji Faki Kabla ya Kuusalia Mwili wa Marehemu Masjid Mushawar Muembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja leo.

Sheikh Mziwanda akihitimisha Kisoma cha Hitma kumuombea Marehe Ramadha Haji Faki kilichofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Wilaya ya Mjiniu Unguja leo kabla ya kuusalia mwili wa Marehemu kwa ajili ya maziko yaliofanyika Kijiji kwao Mkoa wa Kaskazini Unguja.


No comments:

Post a Comment