Sheikh Mziwanda akihitimisha Kisoma cha Hitma kumuombea Marehe Ramadha Haji Faki kilichofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Wilaya ya Mjiniu Unguja leo kabla ya kuusalia mwili wa Marehemu kwa ajili ya maziko yaliofanyika Kijiji kwao Mkoa wa Kaskazini Unguja.
TUTAKWENDA KUWA CHACHU YA UONGOZI - MKURUGENZI TACAIDS
-
Na Khadija Kalili, Michuzi Tv
WAHITIMU wa mafunzo kutoka Taasisi za Umma na wametakiwa kwenda kuwa
mabalozi wazuri na kuleta mabadiliko katika sehemu wana...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment