Mawaziri wa Sekta za
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania pamoja na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambao ni Mhe.Mahmoud
Thabiti Kombo (katikati),Mhe.Harrison Mwakyembe (kushoto) na kulia Mhe.Balozi Ally Abeid Karume wakisaini taarifa
ya utekelezaji wa maazimio ya kikao cha maeneo ya ushirikiano kati ya Serikali
hizo kilichofanyika mwezi julai 2019 jijini Dodoma,Taarifa hiyo wameisaini
visiwani Zanzibar machi 04,2020.Wanaoshuhudia ni Manaibu mawaziri pamoja na
Makatibu Wakuu wa sekta hizo.
Mhe.Mahmoud Thabiti
Kombo Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya kale SMZ (katikati) akiongoza kikao
cha kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa maazimio yaliyofikiwa katika kikao cha mawaziri kilichofanyika julai,2019
jijini Dodoma pamoja na mapendekezo ya maeneo mapya ya ushirikiano baina ya
Wizara zenye dhamana ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo SMT na SMZ kilichofanyika
Zanzibar machi 04,2020.Kushoto ni Mhe Harrison Mwakyembe Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo (SMT) na kulia ni Mhe.Balozi Ally Abeid
Karume Waziri wa Vijana, Utamaduni,Sanaa na Michezo (SMT).
Mhe.Juliana Shonza Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo akichangia mjadala katika kikao cha kupokea
na kujadili taarifa ya utekelezaji wa maazimio yaliyofikiwa katika kikao cha
Mawaziri kilichofanyika tarehe 02,julai 2019 jijini Dodoma pamoja na
mapendekezo ya maeneo mapya ya ushirikiano baina ya Wizara zenye dhamana ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo SMT na SMZ kilichofanyika Zanzibar
Mhe.Chum Kombo Hamis Naibu Waziri
Habari,Utamaduni na Mambo ya kale akichangia mjadala katika kikao cha kupokea
na kujadili taarifa ya utekelezaji wa maazimio yaliyofikiwa katika kikao cha
Mawaziri kilichofanyika tarehe 02,julai 2019 jijini Dodoma pamoja na
mapendekezo ya maeneo mapya ya ushirikiano baina ya Wizara zenye dhamana ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo SMT na SMZ kilichofanyika Zanzibar
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha kupokea na
kujadili taarifa ya utekelezaji wa maazimio yaliyofikiwa katika kikao cha
Mawaziri kilichofanyika tarehe 02,julai 2019 jijini Dodoma pamoja na
mapendekezo ya maeneo mapya ya ushirikiano baina ya Wizara zenye dhamana ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo SMT na SMZ kilichofanyika Zanzibar
Mhe.Mahmoud Thabiti
Kombo Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya kale SMZ (katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na sekretarirti ya mandalizi ya kikao cha kupokea na kujadili
taarifa ya utekelezaji wa maazimio yaliyofikiwa katika kikao cha mawaziri kilichofanyika julai,2019
jijini Dodoma pamoja na mapendekezo ya maeneo mapya ya ushirikiano baina ya
Wizara zenye dhamana ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo SMT na SMZ kilichofanyika
Zanzibar machi 04,2020.Kushoto ni Mhe Harrison Mwakyembe Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo (SMT) na kulia ni Mhe.Balozi Ally Abeid
Karume Waziri wa Vijana, Utamaduni,Sanaa na Michezo (SMT).
Mhe.Mahmoud Thabiti
Kombo Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya kale SMZ (katikati) akiwa katika
picha ya pamoja na Wakuu wa Idara naTaasisi za SMT na SMZ mara baada ya kikao cha kupokea na kujadili taarifa ya
utekelezaji wa maazimio yaliyofikiwa katika
kikao cha mawaziri kilichofanyika julai,2019 jijini Dodoma pamoja na
mapendekezo ya maeneo mapya ya ushirikiano baina ya Wizara zenye dhamana ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo SMT na SMZ kilichofanyika Zanzibar machi
04,2020.Kushoto ni Mhe Harrison Mwakyembe Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo (SMT) na kulia ni Mhe.Balozi Ally Abeid Karume Waziri wa Vijana,
Utamaduni,Sanaa na Michezo (SMT).
No comments:
Post a Comment