Habari za Punde

Shamrashamra za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Yalioadhimishwa Kitaifa Mkoani Simiyu.

Wananchi Wanawake Mkoani Simiyu wakiwa kwenye Maandamano ya kusherehekea Maadhimisho ya  siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Maandamano kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga akiongoza Maandamano kwenye Maadhimisho ya  siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu.
Wananchi Wanawake Mkoani Simiyu wakiwa kwenye Maandamano ya kusherehekea Maadhimisho ya  siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu 
Askari Polisi wa Kike wakiwa na Furaha Kwenye Maandamano ya  siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia moja ya aina ya bidhaa ya kitenge alipotembelea Banda la Benki ya Posta Tanzania TPB Tawi la Simiyu kwenye maonesho ya kilele cha siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia moja ya aina ya bidhaa ya kitenge alipotembelea Banda la Benki ya Posta Tanzania TPB Tawi la Simiyu kwenye maonesho ya kilele cha siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa katika Banda la Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakati akikagua mabanda katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika mkoani Simiyu. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa katika Banda la Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakati akikagua mabanda katika Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika mkoani Simiyu.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika mkoani Simiyu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa Kwenye Maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Halmashauri Bariadi Mkoani simiyu leo March 08,2020.
Baadhi ya wananchi wakifuatilia matukio mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kitaifa yaliyofanyika mkoani Simiyu.

Baadhi ya wananchi wakifuatilia matukio mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kitaifa yaliyofanyika mkoani Simiyu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.