Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ziarani Mkoani Simiyu.Afungua Kituo Cha Huduma Kwa Wateja Wilaya ya Bariadi..


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kuzindua rasmi  Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma kwa Wateja la Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu leo March 07,2020. kulia Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Waziri Kindamba.   

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu wakati wa uzindua rasmi  Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma kwa Wateja la Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu leo March 07,2020. kulia Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Waziri Kindamba, kushoto Naibu Waziri Ujenzi na Mawasiliano Mhe. Kwandikwa.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.