Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu Mpira wa Kikapu Zanzibar Kati ya Timu ya Polisi na Nyuki Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu ya Polisi Imeshinda Kwa Vikapu 75-54.

Mchezaji wa Timu ya Nyuki akiwa na mpira akijaribu kumpita mchezaji wa Timu ya Polisi katika mchezo wa Ligi Kuu Mpira wa Kikapu uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar Timu ya Polishi imeibuka mshindi katika mchezo huo kwa kuifunga Timu ya Nyuki kwa Vikapu 75 - 54. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.