Mchezaji wa Timu ya Usolo Magic akiwa hewa akiifungia Timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Mpira wa Kikapu uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.Timu ya Nyuki imeshiunda mchezo huo kwa Vikapu 71-64.
WADAIWA KODI YA ARDHI KIKAAONGONI
-
Waziri Akwilapo Ataka Kukamilisha malipo ifikapo Desemba 31, 2025
Aagiza Vituo vya Makusanyo ya Kodi kutoa huduma bora
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ...
9 hours ago
0 Comments