Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMESALI IBADA YA JUMAPILI KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PAULO WA MSALABA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA. MACHI 22, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma katika Ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Onesmo Wissi, ambapo Mhe. Rais amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huo. Machi 22, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma katika Ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Onesmo Wissi, ambapo Mhe. Rais amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huo. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitakiana amani na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma bila kushikana mikono katika Ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Onesmo Wissi, ambapo Mhe. Rais amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma na Watanzania katika Ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Onesmo Wissi, ambapo Mhe. Rais amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu, alipoungana na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma katika Ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Onesmo Wissi, ambapo Mhe. Rais amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Padre Onesmo Wiss wa Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma bila kushikana mikono wakati wa ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko huyo, ambapo Mhe. Rais amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Waumini nje ya Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo kuu la Dodoma mara baada ya ibada ya jumapili iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Onesmo Wissi, ambapo Mhe. Rais amewataka Watanzania kutotishwa na ugonjwa Corona na badala yake wamtangulize Mungu mbele kwa Maombi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga na ugonjwa huo. Machi 22, 2020.

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.