Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa za Kwahani Jijini Zanzibar ukiendelea na ujenzi huo zinazojengwa na Kampuni ya Estim ya Tanzania, kama inavyoonekana pichani nyumba maendeleo yake yakienda kwa kwasi katika hatua ya kwanza kwa nyumba block tano kama inavyoonekana pichani.
No comments:
Post a Comment