Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Kisasa za Kwahani Jijini Zanzibar ukiendelea na ujenzi huo zinazojengwa na Kampuni ya Estim ya Tanzania, kama inavyoonekana pichani nyumba maendeleo yake yakienda kwa kwasi katika hatua ya kwanza kwa nyumba block tano kama inavyoonekana pichani.
TAASISI YA ELIMU TANZANIA YAENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU MTAALA ULIOBORESHWA
-
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yaendelea kutoa elimu kwa wadau
waliojitokeza katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba
kuhusu maboresho yali...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment