Mtaalamu wa lugha ya Alama Masika Khamis Ali akitoma maelezo kwa Wananchi wa makundi maalumu wakati wa ufungaji wa Mkutano wa Kampeni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya mpira Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja nuliyofanyika leo 26-10-2025, wakati Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufunga kampeni leo.
REA YAWASHA UMEME KWENYE SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI MTWARA
-
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa nyakati tofauti wamewasha
umeme katika Shule ya Msingi Julia Wilayani Newala na Shule ya Sekondari
Mbawal...
1 hour ago






















No comments:
Post a Comment