Habari za Punde

Mgombea Urais wa Zanzibar Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefunga Kampeni za CCM Katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo 26-10-2025

Mtaalamu wa lugha ya Alama Masika Khamis Ali akitoma maelezo kwa Wananchi wa makundi maalumu wakati wa ufungaji wa Mkutano wa Kampeni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya mpira Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja nuliyofanyika leo 26-10-2025, wakati Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufunga kampeni leo.













 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.