Mkurugenzi Idara ya Ajira Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Ndg.Abdallah Saleh Omar, akizungumza na kuzindua kampuni ya Ambitek inayojishu usafirishaji wa Vijana na kuwapatia Ajira Nje ya Nchi, uzinduzi huo uliyofanika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar.

No comments:
Post a Comment