Wachezaji wa Timu ya JKU na Malindi wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ,mchezo uliyofayika katika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar. katika mchezo huo timu hiyo zimetoka sare ya bao 1-1.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, ikisisitiza kuwa Tanzania inatambua thamani
kubwa ya ra...
6 hours ago












0 Comments