Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisalimiana na Naibu Rais wa Jamhuri ya Kenya Prof. Kithure Kindiki,
wakati alipowasili Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi kushiriki Mazishi ya Kitaifa
ya Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya, Raila Amolo Odinga, leo tarehe 17
Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Musalia Mudavadi wakati alipowasili Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi kushiriki Mazishi ya
Kitaifa ya Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya, Raila Amolo Odinga, leo
tarehe 17 Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akimfariji Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Ruto wakati
wa Mazishi ya Kitaifa ya Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya, Raila
Amolo Odinga, yaliyofanyika Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi leo tarehe 17 Oktoba
2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya
Kenya, Raila Amolo Odinga, wakati wa Mazishi ya Kitaifa yaliyofanyika Uwanja wa
Nyayo Jijini Nairobi leo tarehe 17 Oktoba 2025.

Mpango akiwa na Viongozi mbalimbali wakishiriki Mazishi ya Kitaifa ya Waziri
Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya, Raila Amolo Odinga, yaliyofanyika Uwanja wa
Nyayo, Jijini Nairobi leo tarehe 17 Oktoba 2025.
No comments:
Post a Comment