Habari za Punde

Mshambuliaji wa Timu ya JKU akimpita beki wa Timu ya Muembemakumbi City wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Priemer League mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung. leo 13-10-2025,Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana. 











 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.