Aliyewahi kuwa Mbunge Mstafu wa Jimbo la Mwera Zanzibar Ndg.Juma N'hunga (katikati) akiwatambulisha Wagombea Ubunge na Uwakilishi Jimbo la Mwera wakati wa Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni wa Jimbo la Mwera uliyofanyika katika viwanja vya Garagara Mtoni Wilaya ya Magharibi "A" Unguja (kulia kwake) Mgombea Uwakilishi kwa tikekiti wa CCM Mhe. Mihayo Juma N'hunga na (kushoto kwake) Mgombea Ubunge Jimbo la Mwera kwa tiketi ya CCM Mhe. Suleiman Mohammed .
Mgeni rasmin Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib akiwa na Viongozi na mbalimbali wa CCM na Wagombea Ubunge na Uwakilishi wakifuatilia burudani mbalimbali wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo la Mwera Zanzibar uliyofanyika katika viwanja vya garagara Mtoni Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
Kikundi cha Ngoma kutoka katika Kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharibi "A" Unguja wakitowa burudani ya ngoma ya Kibati wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo la Mwera uliyofanyika katika viwanja vya Garagara Wilaya ya Magharibi "A " Unguja.
Kikundi cha Ngoma cha Jipe Moyo kutoka Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja wakitowa burudani ya ngoma ya Waro Waro Kibati wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo la Mwera uliyofanyika katika viwanja vya Garagara Wilaya ya Magharibi "A " Unguja.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib akihutubia na kuzindua Mkutano wa Kampeni wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Mwera uliyofanyika katika viwanja vya Garagara Wilaya ya Magharibi "A" Unguja na kuwatambulisha Wagombea wa Jimbo hilo na kuwaombea Kura, na kuwaombea Kura Wagombea Wote wa CCM.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib akimtambulia Mgombea Uwakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mwera Mhe. Mihayo Juma N'hunga wakati wa uzinduzi wa mkutano wa kampeni uliyofanyika katika viwanja vya garagara Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.



Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib akimtambulia Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mwera Mhe.Suleiman Mohammed wakati wa uzinduzi wa mkutano wa kampeni uliyofanyika katika viwanja vya garagara Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.

No comments:
Post a Comment