Habari za Punde

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Mkoa wa Manyara

Shamra shamra za wananchi wa Babati na maeneo jirani waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Manyara tarehe 04 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi Wagombea Ubunge wa majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Manyara mara baada ya kuwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika Babati mjini mkoani humo tarehe 04 Oktoba, 2025. 

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Manyara kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani humo tarehe 04 Oktoba, 2025. 

Sehemu ya wananchi wa Babati na maeneo jirani waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Manyara tarehe 04 Oktoba, 2025.

Shamra shamra za wananchi wa Babati na maeneo jirani waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Manyara tarehe 04 Oktoba, 2025.

Shamra shamra za wananchi wa Babati na maeneo jirani waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Manyara tarehe 04 Oktoba, 2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.