Wagombea Ubunge na Uwakilishi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar wakiomba Kura kwa Wananchi wa Jimbo hilo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Kampeni uliyofanyika katika Viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja kutoka (kushoto ) Mgombea Ubunge Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar Mhe.Kassim Hassan Haji na (kulia) Mgombea Uwakilishi Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar Mhe. Mohammed Manzi Haji.
Mgeni Rasmin katika uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar, Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg.Ally Salum Hapi akiwa na Viongozi wa meza kuu wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja. Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar aliyemaliza muda wake Mhe. Ameir Abdallah Ameir (kushoto) akizungumza na kumuombea Kura Mgombea Uwakilishi wa Jimbo hilo Mhe. Mohammed Manziu Haji (kulia) wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni uliyofanyika katika viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja na kuwaombea Wagombea Urais wa CCM na Wabunge,Wawakilishi na Madiwani.
Mlezi na Mratibu wa Kampeni Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar Ndg. Mwanaenzi Hassan akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni ya Jimbo la Mwanakwereke na kuwaombea Kura Wagombea wa Urais wa Tanzania na Zanzibar kwa Tiketi ya CCM na Ubunge,Uwakilishi na Udiwani.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Dimani Kichama Ndg.Hussein Kimti akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi ya Cha Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Ndg. Ally Salum Hapi kuzindua Mkutano Kampeni wa Jimbo la Mkwanakwerekwe Zanzibar, uliyofanyika katika viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Ndg.Ally Salum Hapi akizungumza na kuzindua Mkutano wa Kampeni Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar, uliyofanyika katika viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja na kuwaombea Kura Wagombea na kumuombea Kura Mgombea Urais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Ali Mwinyi na Wagombea Ubunge,Uwakilishi na Udiwani wa CCM.
Wanachama wa CCM Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar wakishangilia wakati wa uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni uliyofanyika katika viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Tanzania Ndg.Ally Salum Hapi akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025 Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar Mhe. Mohammed Manzi Haji, wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo hilo uliyofanyika katika viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Ndg.Ally Salum Hapi akimmtambulisha Mgombea Uwakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar Mhe. Mohammed Manzi Haji, wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo hilo uliyofanyika katika viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar Mhe.Mohammed Manzi Haji akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Mwanakwerekwe katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja na kuwaombea Kura Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na kuwaombea Kura Wabunge,Wawakilishi na Madiwani na kujiombea na yeye mwenyewe.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Tanzania Ndg.Ally Salum Hapi akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar Mhe.Kassim Hassan Haji, wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo hilo uliyofanyika katika viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar Mhe.Kassim Hassan Haji akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Mwanakwerekwe katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika viwanja vya Magirisi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja na kuwaombea Kura Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na kuwaombea Kura Wabunge,Wawakilishi na Madiwani na kujiombea na yeye mwenyewe.
No comments:
Post a Comment