Mfanyabiashara wa Soko la Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba akijipiga SELFIE na Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya CCM, Dk.Hussein Ali Mwinyi alipotembelea sokoni hapo kuzungumza na Wafanyabiashara na Wajasiriamali akiendelea na kampeni yake kuomba kura kwa Wananchi, leo tarehe 24 Septemba
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, ikisisitiza kuwa Tanzania inatambua thamani
kubwa ya ra...
8 hours ago

0 Comments