Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akifanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Abbot anayeshughulikia
biashara ya Ulaya,Mashariki ya Kati na Afrika Dkt. Rabah El Menshawy, mazungumzo yaliyofanyika pembezoni mwa
Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 80) Jijini New York
nchini Marekani.

Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Abbot
anayeshughulikia biashara ya Ulaya,Mashariki ya Kati na Afrika Dkt. Rabah El Menshawy, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika
pembezoni mwa Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 80) Jijini
New York nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment