Kamishna wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora Mhe.Mwinyichande Khatib Mwinyichande akizungumza na kuyafungua mafunzo ya Waandishi wa Habari Zanzibar kuhusu Haki za Binadamu na Wajibu wa Waandishi wa Habari wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025, yaliyofanyika katika ukumbi wa Baaza la Manispaa Wilaya ya Magharibi "B" Unguja na kuwashirikisha Waandishi wa vyombo mbalimbali Unguja.
Mkurugenzi Msaidizi THBUB Ndg Mbwana.M.Mbwana akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Kamishna wa THBUB kuzungumza na kufungua mafunzo ya siki moja kwa Waandishi wa Habari Unguja, mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Manispaa ya Magharibi "B" Unguja kwa Mchina.
Kamishna wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora Mhe.Mwinyichande Khatib Mwinyichande akizungumza na kuyafungua mafunzo ya Waandishi wa Habari Zanzibar kuhusu Haki za Binadamu na Wajibu wa Waandishi wa Habari wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025, yaliyofanyika katika ukumbi wa Baaza la Manispaa Wilaya ya Magharibi "B" Unguja na kuwashirikisha Waandishi wa vyombo mbalimbali Unguja.
Afisa Uchunguzi THBUB Bi,Tunu Myenda akiwasilisha Mada ya Haki na Wajibu wa Waandishi wa Habari wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025, mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Manispaa Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar na kuwashirikisha Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari Unguja.
No comments:
Post a Comment