Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango Ameongoza Ujumbe wa Tanzania katika Ufunguzi wa Kikao cha Unga - 80 Jijini New York

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza ujumbe wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York nchini Marekani leo tarehe 23 Septemba 2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.