Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Pangani katika muendelezo
wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Tanga tarehe 29 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Ubunge wa Jimbo
la Pangani Jumaa Aweso mara baada ya kuwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara
uliofanyika Pangani mkoani Tanga tarehe 29 Septemba, 2025.
No comments:
Post a Comment