Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Ndg. Rehema Sombi Omary akiwatambulisha Wagombea Ubunge, Uwakilishi na Udiwani Jimbo la Dimani Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni wa jimbo hilo zilizofanyika katika Uwanja wa Mpira Kisauni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo 23-9-2025 (kulia ) Mgombea Uwakilishi Jimbo la Dimani Mhe. Mwanaasha Khamis Juma na Mgombea Ugunge Jimbo la Dimani Mhe. Nabil Ahmed Abdallah.

No comments:
Post a Comment