Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji GoergeJoseph Kazi akizungumza na kuufungua mkutano wa Wadau wa Uchaguzi kuhusiana na hatua za maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid Jengo la Afisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-9-2025.

No comments:
Post a Comment