INNALILLAH WAINNA ILAYHI RAJIUW
Ndugu Abasi Ali Mwinyi mbunge aliyemaliza muda wake na mgombea wa jimbo la fuoni amefariki dunia leo 25-9-2025 Jijini Zanzibar , taarifa rasmi na taratibu za maziko zitatolewa baadae na familia.
Namuomba ALLAH SWT ampe kauli thabit, amsamehe makosa yake, amuingize peponi pamoja na wema waliotangulia.
Aamin yaa ALLAH,
No comments:
Post a Comment