MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa
Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib akimtambulisha na kumuombea kura Mgombea
Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chwaka Ndg. Ramadhan Muhidin Ramadhan,
wakati wa Uzinduzi wa mkutano wa Kampeni wa Jimbo la Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja, uzinduzi huo
uliyofanyika katika viwanja vya Skuli ya Ndijani.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa
Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib akimtambulusha na kumuombea kura Mgombea Mwakilishi
wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chwaka Zanzibar Mhe.Issa Gavu, wakati wa
uzinduzi wa mkutano wa kampeni wa Jimbo hilo uliyofanyika katika viwanja vya
Skuli ya Ndijani.
No comments:
Post a Comment