Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgombea nafasi ya Rais wa Zanzibar Ndugu Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Viongozi wengine wakiomba Dua kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanziba tarehe 19 Septemba, 2025.
CHITALE AHUBIRI UMOJA MKUTANO MKUU WA WADAU MADALE GROUP
-
*Na John Bukuku – Dar es Salaam*
*Kaimu DAS wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Salumu Chitale, aliyemwakilisha Mkuu
wa Wilaya, ametumia Mkutano wa Umoja wa W...
28 minutes ago


0 Comments