Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa mkutano kwa ajili ya
kuzungumza na wananchi wa Kibaha katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa
CCM mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kibaha katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025.
No comments:
Post a Comment