Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Kassim Majaliwa Amefungua Kampeni Jimbo la Kojani Pemba

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kojani, Hamad Chande, kwenye ufungunzi wa kampeni wa Jimbo la Kojani Pemba, katika viwanja vya Kangagani Septemba 27, 2025.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimkabidhi Ilani Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kojani, Hamad Chande, kwenye ufungunzi wa kampeni wa Jimbo la Kojani Pemba, katika viwanja vya Kangagani Septemba 27, 2025.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza kwenye ufungunzi wa kampeni wa Jimbo la Kojani Pemba, katika viwanja vya Kangagani Septemba 27, 2025.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.