Habari za Punde

Dkt.Jakaya Kikwete Ahutubia Mkutano wa Hadhari wa Kampeni ya Jimbo la Welezo Zanzibar na Kuwanadi Wagombea wa Jimbo Hilo wa Chama Chsa Mapinduzi (CCM)

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt Jakaya Kikwete akimtambulisha Mgombea Ubunge wa Jimbo la Wekezo Zanzibar  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Asma Ali Hassan Mwinyi wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Hawaii Masingini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 12-10-2025, na kuwaombea Kura Wagombea Wote wa CCM.



























No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.