KAMISHNA wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Zanzibar, Mhe. Khatib Mwinyichande akijumuika na Wafanyakazi wa Tume katika kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani kwa kufanya usafi katika makaazi ya Kituo cha Wazee Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja na kukabidhi Vifaa na Vyakula kwa Wazee wa Welezo na Sebleni.
Wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Zanzibar wakifanya usafi katika Kituo cha Wazee Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani na kukabidhi msaada wa Vyakula na Vifaa mbalimbali kwa ajili ya Wazee wa Vituo hivyo.
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe. Khatib Mwinyichande akizungumza na Wazee wa Kituo cha Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja, baada ya kumaliza zoezi la kufanya usafi katika Makaazi ya Wazee Welezo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja, ikiwa ni kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani.







No comments:
Post a Comment