Habari za Punde

Maandalizi ya Wiki ya Vijana,Kongamano na Kuhitimisha Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoani Mbeya

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu,  Mhe. Ridhiwani Kikwete akikagua maandalizi ya sherehe za kuhutimisha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Maonesho ya Wiki ya Vijana na Kongamano yatakayo fanyika Mkoani Pemba (kushoto kwake) Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Ndg. Fatma Hamad Rajab, wakiwa na Maofisa mbalimbali wa Wizara hiyo.

Nimeingia Mbeya kuangalia maandalizi ya sherehe za Kuhitimisha Mbio za Mwenge wa uhuru zitakazotanguliwa na Maonyesho ya kazi Mbalimbali na huduma katika Wiki ya Vijana na Kongamano kubwa litakalokutanisha vijana zaidi ya 1500, sinazotaraji kufanyika Mbeya mjini. 

Maonyesho ya Wiki ya Vijana na kuhitimishwa tarehe 14 Oktoba 2025 pamoja na Kongamano la Vijana ambalo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa. Shughuli hizi sote zitahitimishwa na sherehe za kilele cha Mwenge wa Uhuru 2025 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Dr. Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Katika ziara hiyo nimepata nafasi ya Kukagua matayarisho ya shughuli hizo zote na kukutana na wananchi, kuwasalimia na kuwakaribisha kuja kushiriki shughuli hizo zote. 

Karibuni san Mbeya, tusikilize Nini mwenge wa Uhuru Umeona.

Nimeingia Mbeya kuangalia maandalizi ya sherehe za Kuhitimisha Mbio za Mwenge wa uhuru zitakazotanguliwa na Maonyesho ya kazi Mbalimbali na huduma katika Wiki ya Vijana na Kongamano kubwa litakalokutanisha vijana zaidi ya 1500, sinazotaraji kufanyika Mbeya mjini. 

Maonyesho ya Wiki ya Vijana yanataraji anza tarehe 8 Oktoba na kuhitimishwa tarehe 14 Oktoba 2025 pamoja na Kongamano la Vijana ambalo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Bwana Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Shughuli hizi sote zitahitimishwa na sherehe za kilele cha Mwenge wa Uhuru 2025 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Dr. Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Katika ziara hiyo nimepata nafasi ya Kukagua matayarisho ya shughuli hizo zote na kukutana na wananchi, kuwasalimia na kuwakaribisha kuja kushiriki shughuli hizo zote. 

Karibuni san Mbeya, tusikilize Nini mwenge wa Uhuru Umeona.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.