Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea
Ubunge wa Majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano wa hadhara
uliofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21
Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa majimbo ya Kinondoni,
Kibamba, Kawe na Ubungo katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM
zilizofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe
21 Oktoba, 2025.
No comments:
Post a Comment