Habari za Punde

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia wananchi wa majimbo ya Ilala, Segerea, Kivule na Ukonga katika uwanja wa Kecha Kinyerezi Jijini Dar es Salaam

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa majimbo ya Ilala, Segerea, Kivule na Ukonga katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Kecha, Kinyerezi Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Oktoba, 2025. 

Shamra shamra wakati akiwasili Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Kecha, Kinyerezi Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea Ubunge wa Majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kecha Kinyerezi Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Oktoba, 2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.