Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Idrisa Haji Jecha akizungumza na kuyafungua mafunzo maalumu kwa Makundu Maalumu na Watu wenye Ulemavu Zanzibar, jinsi ya kupiga kura kwa mazingira rafiki, ili kutumia haki yao ya msingi kumchagua mgombea wanaomtaka, mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mhe.Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud, katika jengo la ZEC Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

Washiriki wa mafunzo maalumu kwa Makundi Maalumu na Watu wenye Ulemavu Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa mafunzo hayo wakati Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Idrisa Haji Jecha akiyafungua mafunzo hayo leo 22-10-2025 yaliyofanyika katika ukumbi wa Mhe.Jaji Mstaafu Hamid Mahmoud katika jenzo la ZEC Maisara Jijini Zanzibar.
Mkuu wa Kurugenzi ya Elimu ya Mpiga Kura na Mawasiliano ya Umma ZEC Ndg.Juma Sanifu Sheha akiwasilisha Mada ya Ushiriki wa Makundi Maalumu na Watu Wenye Ulemavu Zanzibar kushiriki katika haki yao ya kupiga kura kwa mazingira Rafiki, mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Mhe.Jaji Mstafu Hamid Mahmoud, uliyoka katika jengo la Afisi za Tume Maisara Jijini Zanzibar leo 22-10-2025.
No comments:
Post a Comment