Wachezaji wa Timu ya Chipukizi wakishangilia bao lao ya kusawazisha katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ dhidi ya Timu ya Uhamiaji mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja, katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Goli la kusawazisha la Timu ya Chipukizi dhiti ya Timu ya Uhamiaji mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung.Timu hizo zimetoka sara ya bao 1-1.








No comments:
Post a Comment